Yah ni kweli kbs urafiki au undug ukizidi mipaka una madhara yake. Na ndio haya yamemtokea jamaaWaswahil walishasema wema usizid uwezo.Urafik pia usikose mipaka.Siwez kuishi na kaka yangu wala ndugu yangu wa kiume ndani ya nyunba yangu .Haya mambo yalikua yanawezekana zaman sana.nitamsaidia ndugu huko hko aliko.
Nafikiri kitendo cha mumewe kutumia muda mwingi nje ya familia kikazi ndio chanzo cha haya yaliotokea. Japo yeye anadai ni shetani tu alimpitiaHuyo mwanamke nae mtu analishwa na mumeo amewekwa na mumeo wakazi gani huyo kujishusha hadhi yakoo bure.
Kuna vipimo vya DNA ambavyo huthibitisha kila kituMimba ikiwa tumboni inapimwaje kujua ni ya nani? Ntoeni tongotongo ndugu zangu
Amna mkuu ,nyuzi za hivi nakua nataka kuona Neno lako tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] inaonekana umeniweka kwenye kundi la wanawake wapumbavu
[emoji3][emoji3][emoji3] Haya mkuuAmna mkuu ,nyuzi za hivi nakua nataka kuona Neno lako tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja mkuu wangu[emoji3][emoji3][emoji3] Haya mkuu
Alisikika[emoji115][emoji115][emoji115]Ni wa kukamata na kutoa marinda huyo aliebakia gunia mbili
[emoji23][emoji23][emoji23]asante kwa kuja kiazi mbatata....Wewe usinizoee mxiewwwww
We jamaa hujui kutunga story,umetunga story mpaka msomaji nimegundua hilo.
Huyo jamaa yako ana uwezo wa kulipa pesa ili kujua nani ni mhusika wa mimba ambayo bado haijazaliwa?
Mtoto angekuwa ashazaliwa hapo Sawa.
Inasikitisha sana.Bora hata kama wangekua hawajazaa hata mtoto mmoja ingekua rahis kumfuta kwenye kumbukumbu sasa imagine ushazaa nae mtoto wa kwanza..Hata ukimtimua unaona mtoto atapata tabu tu.Yah ni kweli kbs urafiki au undug ukizidi mipaka una madhara yake. Na ndio haya yamemtokea jamaa
Hakika.Adui wa mwanaume ni mwanaume mwenzake