Mkuu kama upo vizuri kipesa kibongobongo DUKANI nenda ukanunue SAMSUNG katika maduka ya wahindi kuanzia pale mtaa UHURU kuja mnazi moja hakikisha unapata NOFROST ila ujipange bei zao zipo vizuri
Au lah kama mfuko hauko vizuri tafuta ya mtumba ambayo haijaguswa utajutia pesa yako