Home alone?

Tafsiri halisi ya picha huja baada ya kitambo na baada ya matukio fulani
 
Tafsiri halisi ya picha huja baada ya kitambo na baada ya matukio fulani


Tatizo polofesa alichukua mshiko mdogo sasa umekata anaanza kuhangika, mwenzie wa kula mihogo alidai pande reeeefu mpaka leo hii anakula bata ubatani.
 
Tatizo polofesa alichukua mshiko mdogo sasa umekata anaanza kuhangika, mwenzie wa kula mihogo alidai pande reeeefu mpaka leo hii anakula bata ubatani.
Mkuu mbona nasikia walichezewa Offside ya kufa mtu...polefesa na padri.....mpunga uliingizwa kabisa kwa account wakaona na bank statement baada ya kutangaza tu kurudi kuvuta kweupe..........tiss at its best
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…