wana Jf mimi nawapenda sana, maanaka kila nikiomba msaada huku wa kitu huwa napata majibu mazuri sana duh bila hii blog sijui ningekuwa wapi. i love this blog a lot than FB. sasa mimi nataka kuja mwezi wa nane bongo naishi USA na niko na family! nitapatate kureny appartment3 bedrooms) nice area, clean and secure? kwa muda wa six weeks? asanteni
peruzi hiyo site nina uhakika asilimia 100 utapata suluhisho hela yako tu, pia kuna site nyingi tu za estate agency za kibongo tafuta wasiliana nao utapata dunia ya sasa ni ya utandawazi wala huna haja kuuliza watu just google tu