Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Haya mawazo yangu tu.
Katika hali ya kushangaza sana, tumeamua kuendesha vyama vyetu bila ya sera ila kwa hoja za msimu.
Hofu yangu ni kuwa tunatengeneza ombwe la kisiasa 2020 kwa kuipa CCM nguvu isiyokuwa na maana.
Kama tunaona shida ya kushindwa kwetu ni Katiba, twende kudai Katiba Mpya. Kama shida ya 2015 ilikuwa Tume Huru ya Uchaguzi, twende tukadai.
Tusipoangalia tunapoteza rasilimali na nguvu zetu kwa vitu vya msimu na huku tukiukaribia uchaguzi 2020.
Tukishindwa 2020, tutalalamika juu ya Tume na Katiba Mpya?