Katibu wa Bunge amesema Hakuna haya ya kuzungumzia hoja ya katiba
ambayo ilitakiwa kuwasilishwa na Mbunge wa Ubungo Mhe John Mnyika kwa
sababu Serikali imeanza mchakato wa Katiba Mpya
Kuhusu suala la Dowans amesema kesi hiyo iko mahakamani kwahiyo Bunge
haliweza kuzungumzia suala hilo kwa sasa .
Nitaendelea kuwapa report........yanayojili hapa ktk ofisi za bunge dodoma.