Hapana mie sio mwanachama wa chama chochote cha siasa ila kama mtanzania nina haki ya kuamua wa kumpa kura. Na kwa taarifa yako huko nyuma nilikuwa mshabiki mkubwa wa upinzani. Uchaguzi wa mwaka 1995 tulishinda kwenye jua siku nzima tukisubiri kumpigia kura Mrema na vifaa vya kupigia kura havikuletwa katika kituo chetu kabisa. Mwaka 1994 ni mmoja wa waliopiga kura kuleta mageuzi ya udiwani pale moshi mjini kwa sababu ccm walimsimamishja mgombea mzee sana. Hivyo ninajua ninachokifanya.Haki ya nani mwaka huu mmeshikwa pabaya. Haya majizi ya CCM hayana ubavu wa kuzuia nguvu ya umma kuwatoa madarakani. Mwaka huu Urais mtauisikia kupitia kwenye bomba
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!
Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?
Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...
Hapa umenipa jibu kwani nataka unishawishi chama chako kitafanya nini kuboresha treni kwani Treni ni muhimu sana kwa nchi yeyote inayohitaji maendeleo, madini na mbuga za wanyama zitainufaisha vip Tanzania. Lakini vinginevyo unamchafua mtu wakati wewe hatuelewi kwamba unaweza kuiharibu nchi hii mara tatu zaidi ya hapa tulipo. Mifano ya nchi za Africa ambazo zilikuja kujutia maamuzi yake tunazijua ila si vizuri kuzitaja.
Ni kweli wao ni kutaja kasoro za watu lakini sijasikia ahadi yeyote ya kuondoa kero za watanzania kama ni jinsi gani elimu itaboreshwa, kuondoa kero ya foleni ambayo inaligharimu taifa hili kuliko kawaida. Nataka kusikia kuimarishwa miundombinu hasa reli na bandari. Uchumi wa nchi, Maisha na kipato cha mtanzania wa kawaida kitaboreshwa vip kwa kutumia rasilimali zetu za ndani( kwani wenzetu Rwanda na Kenya wameweza). Ndio ninataka kusikia sio huyu kazaa na fulani, huyu kaiba je tuna uhakika gani wewe hutaiba? Tunataka mtuambie kwa kweli nchi hii iko hoi sana
We kweli mgeni nchi hii!! au ndio mwanakitengo uko kazni kutekeleza kazi za bwana zako!! Umesahau Dr Slaa alisema angepunguza kodi kwenye cement hadi mfuko mmoja uuze ths 6,000!! Wachovu wa magamba bana!
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!
Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?
Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...
Ni kweli wao ni kutaja kasoro za watu lakini sijasikia ahadi yeyote ya kuondoa kero za watanzania kama ni jinsi gani elimu itaboreshwa, kuondoa kero ya foleni ambayo inaligharimu taifa hili kuliko kawaida. Nataka kusikia kuimarishwa miundombinu hasa reli na bandari. Uchumi wa nchi, Maisha na kipato cha mtanzania wa kawaida kitaboreshwa vip kwa kutumia rasilimali zetu za ndani( kwani wenzetu Rwanda na Kenya wameweza). Ndio ninataka kusikia sio huyu kazaa na fulani, huyu kaiba je tuna uhakika gani wewe hutaiba? Tunataka mtuambie kwa kweli nchi hii iko hoi sana
Tangu nimeanza kufuatilia Upinzani Tanzania hasa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA kupitia nyota wao Bw.Slaa sijawahi kusikia hata siku moja akisema atafanya nini tofauti na CCM zaidi ya kukosoa tu!
Kwa mfano hapa juzi nilimsikia akisema siku hizi WatanZania hawali nyama, mara akasema wengi wetu (Watz) hatunywi chai asubuhi kwa sababu hatuwezi kununua chai jambo ambalo ni kweli lkn mbona kila Mtz analijua hili?
Hata mtoto wa Shule ya msingi anajua kwamba kuna Watz wengi hawawezi kununua nyama, kitu ambacho nimekikosa kwake ni kwamba suluhisho lake ni lipi? Yaani yeye (CHADEMA) watatua vipi hilo tatizo?
Utasikia mtoto anamaliza Shule ya msingi hajui kusoma wala kuandika mara Hospitali hakuna Dawa sijui tunapoteza masaa matatu barabarani kwenye foleni anaongea kana kwamba amegundua Sayari mpya na sasa anatuarifu...
Kwa ufupi wewe ni product ya shule za kata 100%!! Kitu gani huelewi hapo? Unataka kuwa spoonfed Kama mtoto Wa kindergarten halafu unajaribu kutumia neno Kama "rocket science" ili tudanganyike kwamba wewe ni sophiscated intellectual kumbe ni Hot Air! Bs
Km ulimsikia akisema hayo,ina maana aliposema muda wa kampeni bado ukifika atashusha nondo zake,uliziba masikio!!?? Hata hivyo aligusia mambo machache,alitolea mfano wa train kwa nchi km yetu yenye rasirimali kedekede ni aibu kusafiri kwa train siku 3 wakati kuna train zenye kasi ya km-300 kwa saa!!. Sijui nini ambacho hujaelewa hapo..!
Duh! Kwa hiyo kutumia neno ,,rocket science" ndiyo inamaanisha mtu ni intelectual? Halafu isitoshe kuna tatizo gani kusoma Shule ya Kata? Nimeshaelezea kitu nisichokielewa sasa sijui ni kwanini unaniuliza tena!
Shule za kata is synonymous with low quality education which produces "educated illiterates" upo hapo!! or people who attended in the four walls of a classroom but never got educated an iota!