Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 18,868
- 45,830
Serikali ya Tanzania imesema ushoga, usagaji na ndoa za jinsia moja hazina nafasi Tanzania na kusisitiza kuwa huo ndio msimamo wa Serikali, msimamo wa Rais wa Tanzania Dkt. Samia na Wasaidizi wake, Waziri Nape ametoa msimamo huo usiku wa kuamkia leo DSM. [Millard Ayo]