Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,878
- 10,515
Kwa hali hii wengi tutabaki njia panda, katika pita pita zangu (vituo vya dala dala Ubungo, Tegeta, Buguruni) mekutana na watoa mada juu ya matumizi ya kondom, huwa wanazijaza maji, wanaweka yai mle ndani, na kemikali fulani wanafunga, kisha wanaweka chumvi, Hoja ni kwamba mle ndani kuna vijidudu ambavyo vinasababisha ukimwi hivyo wanavikuza kuthibitishia jamii kuwa kondomu ni hatari kwa matumizi
na wanaosikiliza hoja hizo ni watu wa kada (low social economic status) ya chini kabsaaa
Naomba wajuzi mnieleweshe katika hili
Nawasilisha mada
na wanaosikiliza hoja hizo ni watu wa kada (low social economic status) ya chini kabsaaa
Naomba wajuzi mnieleweshe katika hili
Nawasilisha mada