Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,894
- 155,916
mkuu, yale majengo ya kariakoo waliyojenga mafundi mchundo wa mbagala mwisho baada ya technician kuwafungia kamba za kuchimba msingi ni timed bomb! pale ikitokea tetemeko hata dogo tu, kwishnei, au mambomu ya mbagala yangekuwa maeneo ya muhimbili tungekuwa tunaongea mambo tofauti saa hizikuna majengo yako kariakoo ule mtaa wa standard chartered bank.
chini yameachiana nafasi vizuri kabisa,
juu yanataka kugongana. yamepinda.
mkaguzi wa majengo amelala anasubiri yateketeze roho za watu.
watu wanaishi na kutoka jengu moja hadi lingine ni kama nusu mita, kwa hiyo unaweza kufungua dirasha lako na kuseti mpango mzima na binti wa jengo la pili naye akafungua dirisha kisha ukaingia bila hofu yoyote ya kuhatarisha maisha yako. ukala mzigo kisha ukarudi kwako.hayo majengo ya yaliyopinda watu wanaishi? huh.
kuna lift ya life house ,
da, kimeo ile mbaya.
Ikigoma ile mpaka raha.
Kuna siku nlitaka kufapale.
ile lifti sio kimeo wala nini.
Ile ni chuma chakavu kitembeacho.
Laiti ingekuwa ni bidhaa inayolika,
mbona muda huu ingekuwa imesha toa mafunza ya kumwaga.
watu wanaishi na kutoka jengu moja hadi lingine ni kama nusu mita, kwa hiyo unaweza kufungua dirasha lako na kuseti mpango mzima na binti wa jengo la pili naye akafungua dirisha kisha ukaingia bila hofu yoyote ya kuhatarisha maisha yako. ukala mzigo kisha ukarudi kwako.
ni hatari sana jamani majengo haya.
.......Laiti ingekuwa ni bidhaa inayolika,
mbona muda huu ingekuwa imesha toa mafunza ya kumwaga.
watu wanaishi na kutoka jengu moja hadi lingine ni kama nusu mita, kwa hiyo unaweza kufungua dirasha lako na kuseti mpango mzima na binti wa jengo la pili naye akafungua dirisha kisha ukaingia bila hofu yoyote ya kuhatarisha maisha yako. Ukala mzigo kisha ukarudi kwako.
Ni hatari sana jamani majengo haya.