Hofu yangu na majengo ya jijini.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,272
1. Lift/ elevator:
majengio yetu mengi lift zake zinagoma goma, pia umeme ukikatika ni nooooma ile mbaya.

2. Ngazi za dharura
majengo mengi hayanga ngazi za dharura, likitokea janga lolote patachimbika.

3.makandarasi wetu
ndio hawahawa wanaotucherea michoro ya majengo ya kariakoo yasio salama wala. Majengo yanayoporomoka tumeyaona kariakoo, chang'ombe na kisutu.
Tusubiri mengi zaidi yatafuata.
 
kuna majengo yako kariakoo ule mtaa wa standard chartered bank.
chini yameachiana nafasi vizuri kabisa,
juu yanataka kugongana. yamepinda.
mkaguzi wa majengo amelala anasubiri yateketeze roho za watu.
 
Kuna tangazo moja la biashara... linawaliwaza wakaguzi wamajengo linahusu masuala ya Lift (Elevators) kugoma... "HUENDA HAWATUMII NYAYA ZA EAST AFRICA CABLES..."
 
kuna majengo yako kariakoo ule mtaa wa standard chartered bank.
chini yameachiana nafasi vizuri kabisa,
juu yanataka kugongana. yamepinda.
mkaguzi wa majengo amelala anasubiri yateketeze roho za watu.
mkuu, yale majengo ya kariakoo waliyojenga mafundi mchundo wa mbagala mwisho baada ya technician kuwafungia kamba za kuchimba msingi ni timed bomb! pale ikitokea tetemeko hata dogo tu, kwishnei, au mambomu ya mbagala yangekuwa maeneo ya muhimbili tungekuwa tunaongea mambo tofauti saa hizi
 
kuna lift ya life house ,
da, kimeo ile mbaya.
ikigoma ile mpaka raha.
Kuna siku nlitaka kufapale.
 
hayo majengo ya yaliyopinda watu wanaishi? huh.
watu wanaishi na kutoka jengu moja hadi lingine ni kama nusu mita, kwa hiyo unaweza kufungua dirasha lako na kuseti mpango mzima na binti wa jengo la pili naye akafungua dirisha kisha ukaingia bila hofu yoyote ya kuhatarisha maisha yako. ukala mzigo kisha ukarudi kwako.
ni hatari sana jamani majengo haya.
 
kuna lift ya life house ,
da, kimeo ile mbaya.
Ikigoma ile mpaka raha.
Kuna siku nlitaka kufapale.

ile lifti sio kimeo wala nini.
Ile ni chuma chakavu kitembeacho.
Laiti ingekuwa ni bidhaa inayolika,
mbona muda huu ingekuwa imesha toa mafunza ya kumwaga.
 
watu wanaishi na kutoka jengu moja hadi lingine ni kama nusu mita, kwa hiyo unaweza kufungua dirasha lako na kuseti mpango mzima na binti wa jengo la pili naye akafungua dirisha kisha ukaingia bila hofu yoyote ya kuhatarisha maisha yako. ukala mzigo kisha ukarudi kwako.
ni hatari sana jamani majengo haya.

mmmh una hatari sana wewe
 
watu wanaishi na kutoka jengu moja hadi lingine ni kama nusu mita, kwa hiyo unaweza kufungua dirasha lako na kuseti mpango mzima na binti wa jengo la pili naye akafungua dirisha kisha ukaingia bila hofu yoyote ya kuhatarisha maisha yako. Ukala mzigo kisha ukarudi kwako.
Ni hatari sana jamani majengo haya.

hiii nayo ni kiboko.
 
watu wanaishi na kutoka jengu moja hadi lingine ni kama nusu mita, kwa hiyo unaweza kufungua dirasha lako na kuseti mpango mzima na binti wa jengo la pili naye akafungua dirisha kisha ukaingia bila hofu yoyote ya kuhatarisha maisha yako. ukala mzigo kisha ukarudi kwako.
ni hatari sana jamani majengo haya.

Hebu acheni hizo, anayeliwa hapo mwanaume au mwanamke?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom