Hali ya hofu imetamalaki katika kijiji cha Kinampanda,mkoani Singida baada ya Waarabu na Msomali kuonekana kijijini hapo huku mienendo yao ikitia shaka.
Inasemakana watu hao waliingia Tumaini High School na kumuuliza maswali kadhaa mwanafunzi.Watu hao walihoji mambo kadhaa mf. mnakula saangapi,muda gani mnaingia prepo" na kuna walinzi wangapi.
Hii si mara ya kwanza watu wa aina hiyo kwenda kijijini.Awali watu wawili walikodi guest hapo kijijini,lakini watu waliwatilia shaka, baada ya kufuatiliwa walitoweka.
MUNGU TULINDE NA WAOVU HAWA,YALIYOPOO YANATOSHA