mamseri JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 707 Reaction score 292 Apr 10, 2013 #1 Jamani nilikuwa napita kama mgen ila leo nimeamua kuingia ndani naomba mnikaribishe tujadiliane pamoja
Jamani nilikuwa napita kama mgen ila leo nimeamua kuingia ndani naomba mnikaribishe tujadiliane pamoja
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,493 Reaction score 18,387 Apr 10, 2013 #2 mamseri said: Jamani nilikuwa napita kama mgen ila leo nimeamua kuingia ndani naomba mnikaribishe tujadiliane pamoja Click to expand... Karibu sana sana... we ni she au he? kwa jina lako nimepata utata kidogo! mkuu mimi ni he..
mamseri said: Jamani nilikuwa napita kama mgen ila leo nimeamua kuingia ndani naomba mnikaribishe tujadiliane pamoja Click to expand... Karibu sana sana... we ni she au he? kwa jina lako nimepata utata kidogo! mkuu mimi ni he..
mamseri JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 707 Reaction score 292 Apr 10, 2013 Thread starter #3 mimi ni he asante sana kwa kunikaribisha
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,551 Apr 10, 2013 #4 mamseri said: Jamani nilikuwa napita kama mgen ila leo nimeamua kuingia ndani naomba mnikaribishe tujadiliane pamoja Click to expand... Sasa huku ulikoingilia ...., na wewe ni kazi au tenda!??
mamseri said: Jamani nilikuwa napita kama mgen ila leo nimeamua kuingia ndani naomba mnikaribishe tujadiliane pamoja Click to expand... Sasa huku ulikoingilia ...., na wewe ni kazi au tenda!??
B Bwashekh Member Joined Mar 12, 2013 Posts 42 Reaction score 5 Apr 10, 2013 #5 Naona kila mmoja anatanguliza yy ni he, nami ni he kabla ya yote, kwahiyo mgeni umetuletea mpya gani?, yaani tenda kazi au wale wale watafuta kazi?
Naona kila mmoja anatanguliza yy ni he, nami ni he kabla ya yote, kwahiyo mgeni umetuletea mpya gani?, yaani tenda kazi au wale wale watafuta kazi?
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,533 Reaction score 30,086 Apr 10, 2013 #6 mamseri said: Jamani nilikuwa napita kama mgen ila leo nimeamua kuingia ndani naomba mnikaribishe tujadiliane pamoja Click to expand... Karibu....Ila umeingia kusiko...Huja kutana na watu nje wakuelekeze njia..
mamseri said: Jamani nilikuwa napita kama mgen ila leo nimeamua kuingia ndani naomba mnikaribishe tujadiliane pamoja Click to expand... Karibu....Ila umeingia kusiko...Huja kutana na watu nje wakuelekeze njia..