Hodiiiiiiiiii

serious1

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
40
Reaction score
10
Hii JF..nimekua nikifuatilia JF kwa muda mrefu bila kuwa na akaunt.

naomba kuingia kwenye jamii hii ya magreat thinkers.......

Binafsi nina tatizo ambalo muda si mrefu nitaliweka jamvini munipe ushauri na suluhisho la kudumu.

mubarikiwe sana
 
karibu sana serious1. Je, wewe ni mme au kke?
 
Karibu sana,tutakushauri vyema!
 
Karibu yakhe.............watumia tende au halwa,kuna ghahawa,tangawizi,chanabateta na supu ya pweza,UTAWEZA???
 
Karibu sana ila kuanzia leo uachane na chama cha magamba na ujiunge na chama cha magwanda!
 
Aisee karibu sana...Keti kitini na ukitaka tende chukua lakini.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…