Brightermind
Member
- Aug 20, 2019
- 18
- 14
Mimi ni mgeni humu naombeni ushirikiano wenu ahsanteni
Ukifungua ID mpya sio lazima uombe kukaribishwa.Mimi ni mgeni humu naombeni ushirikiano wenu ahsanteni

Mimi ni mgeni humu naombeni ushirikiano wenu ahsanteni
Tuonyeshe na kamba iliyopo mguun![]()
Karibu mgeni mzoefu

Kitambo sana nlikua had na account humu ila nmeisahau2Umekua msomaji kwa muda gani kabla hujajiunga rasmi
Ukifungua ID mpya sio lazima uombe kukaribishwa.
Endelea kupost kama ulivyoanza hapa
![]()
WANAFUNZI HUWA WANAJIULIZA SANA NANI ALIETUNGA MITIHANI - JamiiForums
Ni huyu apa lakini alishafariki mda mrefuwww.jamiiforums.com

Hilo la account ndio nilikua nalitaka maana mwandiko unaonyesha kabisa wewe ni mhengaKitambo sana nlikua had na account humu ila nmeisahau2
Mkabe huyu dogo.Umekua msomaji kwa muda gani kabla hujajiunga rasmi
Wagumu kufikiria alafu wepesi wa kusahau bila kujua hapa ni GTUkifungua ID mpya sio lazima uombe kukaribishwa.
Endelea kupost kama ulivyoanza hapa
![]()
WANAFUNZI HUWA WANAJIULIZA SANA NANI ALIETUNGA MITIHANI - JamiiForums
Ni huyu apa lakini alishafariki mda mrefuwww.jamiiforums.com
Ndio hivyo mkuuWagumu kufikiria alafu wepesi wa kusahau bila kujua hapa ni GT