Jamani marafiki naomba kujiunga nanyi hapa JF. Naitwa Salehe, nimejisajili hapa JF kama Mr.shs. Ni mwalimu wa sekondari natumai tuna mengi ya kushirikiana! Asanteni