N Ndekapawayowa Member Joined Dec 18, 2010 Posts 14 Reaction score 3 Jan 2, 2011 #1 Wana JF natia timu hapa sebureni.
Mpui Lyazumbi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2010 Posts 1,910 Reaction score 445 Jan 2, 2011 #3 Ndekapawayowa said: Wana JF natia timu hapa sebureni. Click to expand... Sebuleni ndg siyo sebureni. KARIBU SANA.
Ndekapawayowa said: Wana JF natia timu hapa sebureni. Click to expand... Sebuleni ndg siyo sebureni. KARIBU SANA.
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Jan 2, 2011 #4 Karibu sana. Karibu mpaka ndani. Unakunywa nini? Haya kabla hujakaa chini hebu twambie maana ya jina lako.
Karibu sana. Karibu mpaka ndani. Unakunywa nini? Haya kabla hujakaa chini hebu twambie maana ya jina lako.
The Inquisitive Senior Member Joined Oct 27, 2010 Posts 177 Reaction score 29 Jan 2, 2011 #5 Karibu. Jina lako tu... du!
N Ndekapawayowa Member Joined Dec 18, 2010 Posts 14 Reaction score 3 Jan 2, 2011 Thread starter #6 Bubu Ataka Kusema said: Karibu sana. Karibu mpaka ndani. Unakunywa nini? Haya kabla hujakaa chini hebu twambie maana ya jina lako. Click to expand... Isiwape taabu, Hilo ni jina la Kibantu tu.
Bubu Ataka Kusema said: Karibu sana. Karibu mpaka ndani. Unakunywa nini? Haya kabla hujakaa chini hebu twambie maana ya jina lako. Click to expand... Isiwape taabu, Hilo ni jina la Kibantu tu.
Rugaijamu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2010 Posts 2,942 Reaction score 1,300 Jan 2, 2011 #7 Karibu sana mukubwa!
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,283 Jan 2, 2011 #8 Ndekapawayowa said: Isiwape taabu, Hilo ni jina la Kibantu tu. Click to expand... sawa mkuu...karibu sana
Ndekapawayowa said: Isiwape taabu, Hilo ni jina la Kibantu tu. Click to expand... sawa mkuu...karibu sana