zyola Member Joined Jun 22, 2013 Posts 16 Reaction score 2 Jun 25, 2013 #1 waungwana naomba mnipokee jf.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,669 Reaction score 167,705 Jun 25, 2013 #2 karibu sana naomba kupokea begi lako.... utakunywa kinywaji gani?
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,750 Reaction score 109,844 Jun 25, 2013 #3 Karibu sana JF...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,750 Reaction score 109,844 Jun 25, 2013 #4 Karibu mdada kwenye kiosk chetu hiki cha kupokea wageni...naona ushiriki wako leo umekuwa mzuri Evelyn Salt said: karibu sana naomba kupokea begi lako.... utakunywa kinywaji gani? Click to expand...
Karibu mdada kwenye kiosk chetu hiki cha kupokea wageni...naona ushiriki wako leo umekuwa mzuri Evelyn Salt said: karibu sana naomba kupokea begi lako.... utakunywa kinywaji gani? Click to expand...
zyola Member Joined Jun 22, 2013 Posts 16 Reaction score 2 Jun 25, 2013 Thread starter #5 Evelyn Salt said: karibu sana naomba kupokea begi lako.... utakunywa kinywaji gani? Click to expand... mkuu nimekaribia, kuhusu kinywaji kikuu cha jf habari motomoto nk.
Evelyn Salt said: karibu sana naomba kupokea begi lako.... utakunywa kinywaji gani? Click to expand... mkuu nimekaribia, kuhusu kinywaji kikuu cha jf habari motomoto nk.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,669 Reaction score 167,705 Jun 25, 2013 #6 watu8 said: Karibu mdada kwenye kiosk chetu hiki cha kupokea wageni...naona ushiriki wako leo umekuwa mzuri Click to expand... Nimekuja kukusaidia make nakuona kazi imekuelemea....
watu8 said: Karibu mdada kwenye kiosk chetu hiki cha kupokea wageni...naona ushiriki wako leo umekuwa mzuri Click to expand... Nimekuja kukusaidia make nakuona kazi imekuelemea....
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,324 Reaction score 2,900 Jun 25, 2013 #7 Karibu JF.
zyola Member Joined Jun 22, 2013 Posts 16 Reaction score 2 Jun 25, 2013 Thread starter #8 watu8 said: Karibu sana JF... Click to expand... nimekaribia asante kwa ukarimu wenu
zyola Member Joined Jun 22, 2013 Posts 16 Reaction score 2 Jun 25, 2013 Thread starter #9 Globu said: Karibu JF. Click to expand... asante tupo pamoja