Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,960 Sep 1, 2009 #1 Nabisha hodi ili nami nikaribishwe kuchangia mada mbalimbali. Nawasilisha hoja
M mafungu Member Joined Aug 22, 2009 Posts 5 Reaction score 0 Sep 1, 2009 #2 Karibu sana ndg Ngalikihinja ila samahani umesema unatoa hoja. hoja hiyo ni ya nn au ndo ya kujiunga kma ya kujiunga wanajamiiforum hawana ubaguzi hivyo humpokea kila mtu, ila nachoomba utakapoondoka uage pia
Karibu sana ndg Ngalikihinja ila samahani umesema unatoa hoja. hoja hiyo ni ya nn au ndo ya kujiunga kma ya kujiunga wanajamiiforum hawana ubaguzi hivyo humpokea kila mtu, ila nachoomba utakapoondoka uage pia