B Baba mtata JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 280 Reaction score 40 Dec 6, 2012 #1 ndo kwanza naingia naomben support yenu
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Dec 7, 2012 #2 Baba mtata said: ndo kwanza naingia naomben support yenu Click to expand... Baba mtata karibu sana humu ndani, lakini humu ndani kuna watoto watata pia. Lakini wote hao wanadhibitiwa na mtu anaitwa Paw, usiingie katika anga zake utajuta hahahaaah!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba mtata said: ndo kwanza naingia naomben support yenu Click to expand... Baba mtata karibu sana humu ndani, lakini humu ndani kuna watoto watata pia. Lakini wote hao wanadhibitiwa na mtu anaitwa Paw, usiingie katika anga zake utajuta hahahaaah!!
Mzururaji JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 1,558 Reaction score 1,274 Dec 7, 2012 #3 Karibu lakin uyaonayo na uyasikiayo nenda katangaze
Paw Content Manager JF Staff Joined Nov 14, 2010 Posts 2,114 Reaction score 1,386 Dec 7, 2012 #4 Katavi said: .....Lakini wote hao wanadhibitiwa na mtu anaitwa Paw, usiingie katika anga zake utajuta hahahaaah!! Click to expand... Haaha, mkuu usimtishe mgeni. Uwapo jukwaani usiogope yeyote wala lolote ila ogopa kuvunja kanuni na sheria za JF
Katavi said: .....Lakini wote hao wanadhibitiwa na mtu anaitwa Paw, usiingie katika anga zake utajuta hahahaaah!! Click to expand... Haaha, mkuu usimtishe mgeni. Uwapo jukwaani usiogope yeyote wala lolote ila ogopa kuvunja kanuni na sheria za JF
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,416 Reaction score 3,048 Dec 7, 2012 #5 Karibu mgeni, una bahati sana. Leo umepokewa na Mkuu Paw. Haa ha ha. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,959 Reaction score 13,935 Dec 7, 2012 #6 Karibu sana JF.