B babaubayaz New Member Joined May 5, 2011 Posts 4 Reaction score 1 May 5, 2011 #1 Mimi mgeni humu jf sijatumwa na mtu yeyote humu nimekuja kwa nia yangu mwenyewe
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,045 May 5, 2011 #2 babaubayaz said: Mimi mgeni humu jf sijatumwa na mtu yeyote humu nimekuja kwa nia yangu mwenyewe Click to expand... Karibu Mkuu! Lakini mbona unajihami mapema? Acha tukuhukumu kwa nyendo zako humu jamvini. Karibu sana karibu Mkuu.
babaubayaz said: Mimi mgeni humu jf sijatumwa na mtu yeyote humu nimekuja kwa nia yangu mwenyewe Click to expand... Karibu Mkuu! Lakini mbona unajihami mapema? Acha tukuhukumu kwa nyendo zako humu jamvini. Karibu sana karibu Mkuu.
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 May 5, 2011 #3 Karibu ila kuna mtu humu ndani anaitwa Baba Ubaya sasa wewe unajiita babaubayaz, tafakari.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,879 May 5, 2011 #4 Mzee wa Rula said: Karibu ila kuna mtu humu ndani anaitwa Baba Ubaya sasa wewe unajiita babaubayaz, tafakari. Click to expand... hii sasa itatuchanganya........kama inawezekana abadili jina bana.....
Mzee wa Rula said: Karibu ila kuna mtu humu ndani anaitwa Baba Ubaya sasa wewe unajiita babaubayaz, tafakari. Click to expand... hii sasa itatuchanganya........kama inawezekana abadili jina bana.....
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,460 May 5, 2011 #5 karibu.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 903 May 6, 2011 #6 Karibu sana
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,672 May 6, 2011 #7 Karibu sana jamvini.