Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,301
Karibu ni pm nikupe ID na acces key yakuingia MMU!!Hello JF members, salaam alaykum,BWANA Yesu asifiwe, finally I'm happy baada ya Kustruggle for a long time nimejoin leo hapa Jamvini. Nikiwa Outsider nimekuwa nikiwapata vizuri. I love U all. Aluta continue,Peeeeeples!
sikuhizi mpaka uwe na Password ndiyo uingie MMU na umejuaje kama ni mpenzi wa mambo hayo..huyu si siasa........lolKaribu ni pm nikupe ID na acces key yakuingia MMU!!
Siasa bila MMU nikama gari bila mafuta!!kuja huko lazima anione mimi ndiye kiranja wa jukwaa hila The finest ndiye Mod wa jukwaa hili akishirikiana na DA!sikuhizi mpaka uwe na Password ndiyo uingie MMU na umejuaje kama ni mpenzi wa mambo hayo..huyu si siasa........lol
Karib sana BigHello JF members, salaam alaykum,BWANA Yesu asifiwe, finally I'm happy baada ya Kustruggle for a long time nimejoin leo hapa Jamvini. Nikiwa Outsider nimekuwa nikiwapata vizuri. I love U all. Aluta continue,Peeeeeples!
Kiongozi naona unamtuma njuka akakuletee pipi mbili za bunsen burner..lol!Karibu ni pm nikupe ID na acces key yakuingia MMU!!