Hodi wenyewe,hodi mpaka jikoni!

pinkmousse

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Posts
227
Reaction score
88
Nimefurahi kujiunga nanyi kwenye jumba hili zuri na matata kwa hoja!
 
Karibu karibu mgeni! pita hadi sebuleni, ila usifike jikoni. lakn mbona waonekana kama si mgeni sana humu nyumbani? ila karibu sana zingatia sheria za humu!
 
Usisahau kuvaa helmet mgeni, FFU wanapitaga mpaka huku. Karibu Sana
 
asanteni sana sana kwa mapokezi mazuri
 
Kaaribu sana ila jikoni usifike utaota pembe ungali mchanga
 
Karibu jikoni ila kuna ugali wa mhogo na mchunga na maji ya kandoro...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…