R Rinsa Member Joined Dec 13, 2007 Posts 8 Reaction score 3 Feb 8, 2011 #1 Naomba mnipokee mwanajamii mwenzenu.Nimekuwa nikiifuatilia hii forum tangu mwaka 2007 lakini sasa nimeamua kujiunga rasmi.Naomba mnipokee wandugu.
Naomba mnipokee mwanajamii mwenzenu.Nimekuwa nikiifuatilia hii forum tangu mwaka 2007 lakini sasa nimeamua kujiunga rasmi.Naomba mnipokee wandugu.
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,714 Reaction score 8,118 Feb 8, 2011 #3 WiseLade,katavi,klorokwin,The Finest kwa uchache wategemee hao wapendwa katika jamii hii teule
G Gad ONEYA JF-Expert Member Joined Oct 26, 2010 Posts 2,629 Reaction score 172 Feb 8, 2011 #4 :clap2:
WiseLady JF-Expert Member Joined Jan 22, 2010 Posts 3,268 Reaction score 531 Feb 8, 2011 #5 karibu pita ndani muungwana
WiseLady JF-Expert Member Joined Jan 22, 2010 Posts 3,268 Reaction score 531 Feb 8, 2011 #6 IGWE said: WiseLade,katavi,klorokwin,The Finest kwa uchache wategemee hao wapendwa katika jamii hii teule Click to expand... kwisha do ze nidful tayari,,hapa ni ukarimu tu........
IGWE said: WiseLade,katavi,klorokwin,The Finest kwa uchache wategemee hao wapendwa katika jamii hii teule Click to expand... kwisha do ze nidful tayari,,hapa ni ukarimu tu........
sijuikitu JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 286 Reaction score 12 Feb 8, 2011 #7 karibu sana....mi nimejiunga leo.
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,714 Reaction score 8,118 Feb 8, 2011 #8 safi sana sijuikitu:clap2:
Ndachuwa JF-Expert Member Joined Mar 8, 2006 Posts 6,268 Reaction score 4,583 Feb 8, 2011 #9 Mlango uko wazi ingia, jisikia uko nyumbani kwa GREAT THINKERS
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,835 Reaction score 4,240 Feb 8, 2011 #10 sijuikitu said: karibu sana....mi nimejiunga leo. Click to expand... na wewe sijui kitu karibu sana
Dr Justice JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 797 Reaction score 856 Feb 8, 2011 #11 karibu mkuu
Dr Justice JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 797 Reaction score 856 Feb 8, 2011 #12 IGWE said: WiseLade,katavi,klorokwin,The Finest kwa uchache wategemee hao wapendwa katika jamii hii teule Click to expand... hawa wakuu nawakubali kwa kukaribisha
IGWE said: WiseLade,katavi,klorokwin,The Finest kwa uchache wategemee hao wapendwa katika jamii hii teule Click to expand... hawa wakuu nawakubali kwa kukaribisha
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Feb 8, 2011 #13 sijuikitu said: karibu sana....mi nimejiunga leo. Click to expand... Karibu sana sijuikitu, hapa utajua mengi sana!
sijuikitu said: karibu sana....mi nimejiunga leo. Click to expand... Karibu sana sijuikitu, hapa utajua mengi sana!
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Feb 8, 2011 #14 Karibu sana Rinsa.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Feb 8, 2011 #15 Wit said: hawa wakuu nawakubali kwa kukaribisha Click to expand... Karibu katika timu yetu.
Babu Lao JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 2,042 Reaction score 180 Feb 8, 2011 #16 Karibuni sana!!
R Rinsa Member Joined Dec 13, 2007 Posts 8 Reaction score 3 Feb 9, 2011 Thread starter #17 Nashukuru sana kwa kunikaribisha wandugu.Tupo pamoja