B BABAAKUBWA Senior Member Joined Oct 26, 2013 Posts 120 Reaction score 27 Oct 27, 2013 #1 Ndugu wana jf, ninaomba kujiunga nanyi kwa mara ya kwanza kama mwanachama wa jf ili kwa pamoja tujadili,tujifunze,tuelimike na tufurahi. Naomba mnipokee bila kinyongo, na mnipe kampani bila hiana. Ushauri wenu ni lulu kwangu. Shukrani.
Ndugu wana jf, ninaomba kujiunga nanyi kwa mara ya kwanza kama mwanachama wa jf ili kwa pamoja tujadili,tujifunze,tuelimike na tufurahi. Naomba mnipokee bila kinyongo, na mnipe kampani bila hiana. Ushauri wenu ni lulu kwangu. Shukrani.
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,085 Reaction score 8,409 Oct 27, 2013 #2 BABAAKUBWA said: Ndugu wana jf, ninaomba kujiunga nanyi kwa mara ya kwanza kama mwanachama wa jf ili kwa pamoja tujadili,tujifunze,tuelimike na tufurahi. Naomba mnipokee bila kinyongo, na mnipe kampani bila hiana. Ushauri wenu ni lulu kwangu. Shukrani. Click to expand... Karibu pita ndani, Do's & dont's za Jf si unazijua?
BABAAKUBWA said: Ndugu wana jf, ninaomba kujiunga nanyi kwa mara ya kwanza kama mwanachama wa jf ili kwa pamoja tujadili,tujifunze,tuelimike na tufurahi. Naomba mnipokee bila kinyongo, na mnipe kampani bila hiana. Ushauri wenu ni lulu kwangu. Shukrani. Click to expand... Karibu pita ndani, Do's & dont's za Jf si unazijua?
kapingili Senior Member Joined Jul 4, 2012 Posts 155 Reaction score 192 Oct 27, 2013 #3 Vua kanda mbili mlangon af uamkie wakubwa sawa ehh
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Oct 28, 2013 #4 Karibu sana jamvini.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,960 Reaction score 13,935 Oct 28, 2013 #5 Karibu sana JF mkuu......
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Oct 28, 2013 #6 Ndaga mwalimu.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,416 Reaction score 3,048 Oct 29, 2013 #7 Karibu JF.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,318 Reaction score 111,512 Oct 29, 2013 #8 Karibu sana JF.