N nyachijendi Member Dec 15, 2012 57 8 Dec 15, 2012 #1 Hi to all! Napenda kuwafahamisha wana jf nami kijana wa zamani nimeingia rasmi
kiwatengu Platinum Member Apr 6, 2012 17,655 14,838 Dec 15, 2012 #2 karibu!! kuwa makini na propaganda...kijana wa zamani.
Nicole JF-Expert Member Sep 7, 2012 4,274 2,514 Dec 15, 2012 #3 karibu sana mkuu.... nyachijendi said: Hi to all! Napenda kuwafahamisha wana jf nami kijana wa zamani nimeingia rasmi Click to expand...
karibu sana mkuu.... nyachijendi said: Hi to all! Napenda kuwafahamisha wana jf nami kijana wa zamani nimeingia rasmi Click to expand...
lara 1 JF-Expert Member Jun 10, 2012 15,700 29,111 Dec 15, 2012 #4 Karibu aiseeeeeeeee! Jisikie nyumbani!
hekimatele JF-Expert Member May 31, 2011 9,884 2,781 Dec 15, 2012 #6 Karibu ila usijisikie nyumbani tafadhali. Hapa sio kwenu. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Karibu ila usijisikie nyumbani tafadhali. Hapa sio kwenu. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Tetra JF-Expert Member Oct 5, 2012 1,520 764 Dec 16, 2012 #9 :: Karibu,,Jicho la mgeni huona usichokiona mwenyeji kwenye nyumba yako..LETA MCHANGO WAKO =
Mzalendo58 New Member Dec 16, 2012 1 0 Dec 16, 2012 #11 Shukurani yangu kwa wote. Mimi ni mgeni kwenu na natumai urafiki wetu utadumu kwa mahaba na masikilizano pamoja na mendeleo mema yenye manufaa kwa wote.
Shukurani yangu kwa wote. Mimi ni mgeni kwenu na natumai urafiki wetu utadumu kwa mahaba na masikilizano pamoja na mendeleo mema yenye manufaa kwa wote.
N nyachijendi Member Dec 15, 2012 57 8 Dec 19, 2012 Thread starter #12 Nashukuru sana kwa ukarimu muliounesha wa kunikaribisha kwa kishindo, nadhani mtapata busala za na zile ezi zetu tulipokuwa vijana. Kazi njema wana jf
Nashukuru sana kwa ukarimu muliounesha wa kunikaribisha kwa kishindo, nadhani mtapata busala za na zile ezi zetu tulipokuwa vijana. Kazi njema wana jf