Hodi wana jf...........?

Karibu ila usijisikie nyumbani tafadhali. Hapa sio kwenu.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
::
Karibu,,Jicho la mgeni huona usichokiona mwenyeji kwenye nyumba yako..LETA MCHANGO WAKO
=
 
Shukurani yangu kwa wote. Mimi ni mgeni kwenu na natumai urafiki wetu utadumu kwa mahaba na masikilizano pamoja na mendeleo mema yenye manufaa kwa wote.
 
Nashukuru sana kwa ukarimu muliounesha wa kunikaribisha kwa kishindo, nadhani mtapata busala za na zile ezi zetu tulipokuwa vijana. Kazi njema wana jf
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom