Mu hali gani wakubwa?
Ni furaha yangu kujiunga nanyi humu!
Na ugeni wangu huu, nina biashara pia hapa!
Nauza miche ya miti wakuu;
Ninayo miti aina ya
Gilivelia, mifensi ya arusha, sadulela, michongoma, maua ya fensi, miembe, mikaratusi, misindano, midodoma, miboyo na miarobaini
*Bei ni Tshs 500 kwa mche!
*price negotiable
Pia tuna miche ya matunda kama:
Parachichi, passion, fenesi, stafeli,chungwa, zambarau
Bei Tshs 800.
Tunapatikana Jijini Mwanza
Please call 0764622243 kwa order
Whatsapp no. 0683011003
Karibuni sana wakuu