Hodi ruangwa

duuu inaonekana huko ni kichakani nn hakuna hata m1 humu duu
 
kikazi kwa muda mfupi au mrefu fafanua mkuu!
 
You are wrong. Acha dharau! Probably ndo your first appointment! Hakuna mahala waweza kupaita chakani. I am deeply disapointed bt your arrogance. Any way lini unaenda? Kama huna mzigo ninaenda Ruangwa Jumatatu and I can lift you there at zero cost.
 
mkuu hutaki apande basi la WIFI!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…