Hodi Mwenye nyumba yupo?

Duh! Huyo jamaa atakua mpare maana wale ndio wana hati miliki ya ufupi teh.
 
Hii sasa sifa...!!!! Qui qui quiiii shigha wadhe...!!!
Haaaahaaaa! mshana jr, Umenikumbusa mbali sana pale Mwanga, niliingia Disco nikidhani ni Disco toto, MC akasema " Everybody thei yeee! watu yeeeh, Baada ya hapo akasema "Dont forget Kithuthu Hotel in Mwanga...! Mie nikadhani ni disco totoo, kila mtu mfupi kumbe wote ni watu wazima ila ni vi-shotii mbaya... haaahahaaa niketedheeee!!!!!!!!
 
Bibie mrefu kisha kaongezea na mchuchumio miguuni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…