Bosi wa Miji yote Tz
Member
- May 12, 2021
- 36
- 23
NAITWA Bosi wa miji yote Tz
Hilo jina nalipenda sana kwa maana kufikia 2030 Miji wanijue mi ni nani kwa maana kila mji wa Tz nitakuwa nishawekeza tena uwekezaji mkubwa tuKaribu,
Kwanini hilo jina?
Si unajua Smart za urithiTukukaribe ndiyo nn, embu rudi sheleni kwanza ukajifunze kuandika ndipo uingie humu, watu tusha vurugwa humu na teuzi za juzi.
Unakaribishwaje wewe ni bosi wa miji yote tzNAITWA Bosi wa miji yote Tz
Mi Kidume bwanaUnakaribishwaje wewe ni bosi wa miji yote tz
Sema kwnza we me au ke
Kama ke pita ndani mpaka kitandani
Kama me subiri nje nakuletea kiti
NAITWA Bosi wa miji yote Tz