Samuel Doe Senior Member Joined Apr 8, 2014 Posts 134 Reaction score 30 Apr 8, 2014 #1 salamu kwenu GT naomba mnipokee katika uwanja wa great thinkerz ili tuweze kuijenga nchi yetu kwa pamoja kupitia jukwaa hili. natanguliza shukrani
salamu kwenu GT naomba mnipokee katika uwanja wa great thinkerz ili tuweze kuijenga nchi yetu kwa pamoja kupitia jukwaa hili. natanguliza shukrani
VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,137 Reaction score 2,267 Apr 8, 2014 #2 umefufuka? we si uliuawa kikatili mwaka 1990 kule monrovia? vp prince johnson hajambo?
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,477 Reaction score 29,944 Apr 9, 2014 #3 Wakaribishwa sana..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,229 Reaction score 111,224 Apr 11, 2014 #4 Karibu sana JF...
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,404 Reaction score 3,032 Apr 11, 2014 #5 Karibu JF
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,902 Reaction score 13,890 Apr 11, 2014 #6 Karibu sana JF mjukuu............
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,460 Reaction score 17,947 Apr 13, 2014 #7 Samuel Doe said: salamu kwenu GT naomba mnipokee katika uwanja wa great thinkerz ili tuweze kuijenga nchi yetu kwa pamoja kupitia jukwaa hili. natanguliza shukrani Click to expand... karibu sana JF Samuel Doe, naitwa Excel. kuwa huru kusema chochote ndani ya JF bila kuvunja sheria. This is the home of Great Thinkers. So you are too! usiwe -------- kuamini kila jambo-fikiri sana kabla hujasema chochote. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Samuel Doe said: salamu kwenu GT naomba mnipokee katika uwanja wa great thinkerz ili tuweze kuijenga nchi yetu kwa pamoja kupitia jukwaa hili. natanguliza shukrani Click to expand... karibu sana JF Samuel Doe, naitwa Excel. kuwa huru kusema chochote ndani ya JF bila kuvunja sheria. This is the home of Great Thinkers. So you are too! usiwe -------- kuamini kila jambo-fikiri sana kabla hujasema chochote.
Samuel Doe Senior Member Joined Apr 8, 2014 Posts 134 Reaction score 30 Apr 13, 2014 Thread starter #8 ahsante sana mkuu..nitazingatia hayo na nitajitahidi kuzuia hisia za wanaoudhi na kuprovoke wenzao kwa namna yoyote ile Excel said: karibu sana JF Samuel Doe, naitwa Excel. kuwa huru kusema chochote ndani ya JF bila kuvunja sheria. This is the home of Great Thinkers. So you are too! usiwe -------- kuamini kila jambo-fikiri sana kabla hujasema chochote. Click to expand...
ahsante sana mkuu..nitazingatia hayo na nitajitahidi kuzuia hisia za wanaoudhi na kuprovoke wenzao kwa namna yoyote ile Excel said: karibu sana JF Samuel Doe, naitwa Excel. kuwa huru kusema chochote ndani ya JF bila kuvunja sheria. This is the home of Great Thinkers. So you are too! usiwe -------- kuamini kila jambo-fikiri sana kabla hujasema chochote. Click to expand...
Samuel Doe Senior Member Joined Apr 8, 2014 Posts 134 Reaction score 30 Apr 13, 2014 Thread starter #9 hahhah...hawajambo wote mkuu, namtafuta charles taylor sijui kajificha wapi VOICE OF MTWARA said: umefufuka? we si uliuawa kikatili mwaka 1990 kule monrovia? vp prince johnson hajambo? Click to expand...
hahhah...hawajambo wote mkuu, namtafuta charles taylor sijui kajificha wapi VOICE OF MTWARA said: umefufuka? we si uliuawa kikatili mwaka 1990 kule monrovia? vp prince johnson hajambo? Click to expand...