Hodi jamvini

howard

Senior Member
Joined
Feb 21, 2011
Posts
188
Reaction score
30
Nimesoma sana posts za humu ndani kabla ua chaguzi na baada ya uchaguzi.
Naomba nijiunge rasmi kwenye FORUM HII.
ASANTENI
Sincerely yours
howard
 
Karibu sana Howard, tunategemea kupata mengi kutoka kwako!
 
Karibu sana mkuu... weredi wako katika uchambuzi na uchangiaji wa mada utatusaidia sana hapa jamvini, kama tu hutouficha!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…