Asante Chuakachara kwa concern yako.
Tandabui Institute of Health and Technology is not a Faith Based Org. Ni Private College Kipo accredited na NACTE na kinatambuliwa na Wizara ya Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Unaweza kutembelea website yetu hapa:
www.tihest.org kwa info zaidi.