M Mahengo Member Joined Aug 26, 2009 Posts 6 Reaction score 0 Aug 26, 2009 #1 Jamani nawaombeni wadau wa hapa kunyumba nikaribisheni nimeingia janvini leo kwa mara ya kwanza. Asanteni sana ni mimi Mahengo.
Jamani nawaombeni wadau wa hapa kunyumba nikaribisheni nimeingia janvini leo kwa mara ya kwanza. Asanteni sana ni mimi Mahengo.
D Dawson Member Joined Mar 6, 2009 Posts 43 Reaction score 3 Aug 26, 2009 #2 Karibu mama jisikie huko nyumbani lakini hakupikwai huku...!!
Sipo JF-Expert Member Joined Jul 25, 2008 Posts 2,139 Reaction score 105 Aug 26, 2009 #3 karibu sana mdau sina shaka wewe ni mwanazuoni
GP JF-Expert Member Joined Feb 5, 2009 Posts 2,049 Reaction score 161 Aug 26, 2009 #4 Dawson said: Karibu mama jisikie huko nyumbani lakini hakupikwai huku...!! Click to expand... amesema kama yeye ni shorizzzz?, utapewa za chembe wewee!!
Dawson said: Karibu mama jisikie huko nyumbani lakini hakupikwai huku...!! Click to expand... amesema kama yeye ni shorizzzz?, utapewa za chembe wewee!!