Ngoja nikusaidie kuwaita wakuu wa humu waje kwa haraka wakukaribishe akina watu8, Mamndenyi, Bishanga, The secretary, Erickb52, stevoh, kiwatengu, Baba V ambaye ndio life chairman wa CC, binamu zangu Madame B, Paloma, Passion Lady, Zion Daughter, ladyfurahia, Evelyn Salt, Lady doctor, charminglady Blaki Womani amu, Chocs marejesho namumewe Filipo,
Kaka wakubwa Asprin, Ruttashobolwa, Judgment Chimbuvu, nitonye na wengineo ngoja waje
karibu sana shabiki huku utakutana na wake zangu madame b , mama yangu mamndenyi ama mrs bishanga ama sijamaanisha hivo hao wote na secretary ni mamrs thesecretary bishanga
salamu kwako the secretary ila kumbuka
i support israel
Karibu sana shabiki huku utakutana na wake zangu Madame B , mama yangu Mamndenyi ama Mrs Bishanga ama sijamaanisha hivo hao wote na SECRETARY ni mamrs thesecretary Bishanga
salamu kwako The secretary ila kumbuka
I SUPPORT ISRAEL
Unasemaje vile;
Au bado upo holiday inn.
Hodi hodi jamani, nimesikia makelele nikasema ngoja nisogee niulize kulikoni, kumbe! Huku maraha tu. Naombeni mnipokee.
unantisha Passion Lady,M-Pesa tena?nike Airtel asee!
.......weeeeeeee komaaaa!!!chocs kuna raia aliwahi kusema humu kuwa ile 52 kwenye avator yake ni idadi ya dates wake!kama mi mwongo mwite mwenyewe aje aseme!
Shemkwe ohooo...wekaaaa!wewe peke yako ndio hujui...au tuweke picha hapa?