M Mkwakwasu75 New Member Joined Oct 29, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Nov 1, 2012 #1 Baada ya kuzunguka maeneo mbali mbali,Nimeona hapa ndiyo mahali ambapo naweza kukutana na jamii na kujisikia na mimi nipo kwenye hii globe yetu.Hivyo babisha hodi waheshimiwa.
Baada ya kuzunguka maeneo mbali mbali,Nimeona hapa ndiyo mahali ambapo naweza kukutana na jamii na kujisikia na mimi nipo kwenye hii globe yetu.Hivyo babisha hodi waheshimiwa.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,325 Reaction score 2,901 Nov 2, 2012 #2 Karibu sana Mkubwa.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,925 Nov 2, 2012 #3 Karibu sana jamvini.
Chibolo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 5,768 Reaction score 8,041 Nov 2, 2012 #4 Karibu ila uheshimu wenyeji
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,117 Reaction score 28,574 Nov 2, 2012 #5 Wakaribishwa..
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,810 Reaction score 13,769 Nov 3, 2012 #6 Karibu sana JF.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,786 Reaction score 109,960 Nov 4, 2012 #7 Karibu JF
M mama mjasiriamali Member Joined Nov 5, 2012 Posts 6 Reaction score 0 Nov 5, 2012 #8 baada ya kusoma jamii forum na kupata mafunzo na ushauri mwingi nimeona hapa panafaa sana. Nikaribisheni.
baada ya kusoma jamii forum na kupata mafunzo na ushauri mwingi nimeona hapa panafaa sana. Nikaribisheni.
Nicole JF-Expert Member Joined Sep 7, 2012 Posts 4,274 Reaction score 2,523 Nov 5, 2012 #9 Ohh karibu sana, unafanya ujasiriamali wa nn? mama mjasiriamali said: baada ya kusoma jamii forum na kupata mafunzo na ushauri mwingi nimeona hapa panafaa sana. Nikaribisheni. Click to expand...
Ohh karibu sana, unafanya ujasiriamali wa nn? mama mjasiriamali said: baada ya kusoma jamii forum na kupata mafunzo na ushauri mwingi nimeona hapa panafaa sana. Nikaribisheni. Click to expand...
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 56,742 Reaction score 46,267 Nov 6, 2012 #10 Karibu sana.