I irene Qt Member Joined Nov 14, 2015 Posts 28 Reaction score 9 Nov 17, 2015 #1 Mara nyingi huwa nilikuwa naishia kusoma tu post humu tangu mwaka jana mwanzoni sasa nimeamua kujiunga rasmi
Mara nyingi huwa nilikuwa naishia kusoma tu post humu tangu mwaka jana mwanzoni sasa nimeamua kujiunga rasmi
Lord Lofa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,512 Reaction score 2,752 Nov 17, 2015 #2 Karibu sana
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,529 Reaction score 32,731 Nov 17, 2015 #3 karibu Irene cute,hope utakuwa na michango mizuri hasa jukwaa la MMU kama Id yako Inavyo onyesha
I irene Qt Member Joined Nov 14, 2015 Posts 28 Reaction score 9 Nov 17, 2015 Thread starter #4 Karibuni pia
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Nov 17, 2015 #5 Umekuja na unga wako?
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,800 Reaction score 16,817 Nov 17, 2015 #6 irene Qt said: Karibuni pia kwenye group letu la whatsapp,admin atawaad Click to expand... wasap tena bibie? karibu lakini
irene Qt said: Karibuni pia kwenye group letu la whatsapp,admin atawaad Click to expand... wasap tena bibie? karibu lakini
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Nov 17, 2015 #7 irene Qt said: Karibuni pia kwenye group letu la whatsapp,admin atawaad Click to expand... Linahusu nn hilo jukwaa?
irene Qt said: Karibuni pia kwenye group letu la whatsapp,admin atawaad Click to expand... Linahusu nn hilo jukwaa?
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,553 Reaction score 41,467 Nov 17, 2015 #8 irene Qt said: Karibuni pia kwenye group letu la whatsapp,admin atawaad Click to expand... mi nataka namba yako ya simu nikutongoze kama utanikubalia nipe kama unajua hautanikubalia usinipe
irene Qt said: Karibuni pia kwenye group letu la whatsapp,admin atawaad Click to expand... mi nataka namba yako ya simu nikutongoze kama utanikubalia nipe kama unajua hautanikubalia usinipe
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Nov 17, 2015 #9 Econometrician said: karibu Irene cute,hope utakuwa na michango mizuri hasa jukwaa la MMU kama Id yako Inavyo onyesha Click to expand... Hahaha. Hivi kumbe hiyo "Qt" iko badala ya cute? Dah! Uzee unanijia vibaya. Sikuwa na idea kabisa.
Econometrician said: karibu Irene cute,hope utakuwa na michango mizuri hasa jukwaa la MMU kama Id yako Inavyo onyesha Click to expand... Hahaha. Hivi kumbe hiyo "Qt" iko badala ya cute? Dah! Uzee unanijia vibaya. Sikuwa na idea kabisa.
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,251 Nov 17, 2015 #10 Paulo Sergio De Souz said: Hahaha. Hivi kumbe hiyo "Qt" iko badala ya cute? Dah! Uzee unanijia vibaya. Sikuwa na idea kabisa. Click to expand... Mie mwenyewe nimebaki naduwaa.
Paulo Sergio De Souz said: Hahaha. Hivi kumbe hiyo "Qt" iko badala ya cute? Dah! Uzee unanijia vibaya. Sikuwa na idea kabisa. Click to expand... Mie mwenyewe nimebaki naduwaa.
I irene Qt Member Joined Nov 14, 2015 Posts 28 Reaction score 9 Nov 17, 2015 Thread starter #11 Paulo Sergio De Souz said: Hahaha. Hivi kumbe hiyo "Qt" iko badala ya cute? Dah! Uzee unanijia vibaya. Sikuwa na idea kabisa. Click to expand... Hehehe ndio
Paulo Sergio De Souz said: Hahaha. Hivi kumbe hiyo "Qt" iko badala ya cute? Dah! Uzee unanijia vibaya. Sikuwa na idea kabisa. Click to expand... Hehehe ndio
mbm JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 604 Reaction score 286 Nov 17, 2015 #12 Unatuungaje watsup
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,595 Reaction score 6,763 Nov 17, 2015 #13 irene Qt said: Mara nyingi huwa nilikuwa naishia kusoma tu post humu tangu mwaka jana mwanzoni sasa nimeamua kujiunga rasmi Click to expand... Karibu mama huku watu wana gegedana sehemu inaitwa pm!
irene Qt said: Mara nyingi huwa nilikuwa naishia kusoma tu post humu tangu mwaka jana mwanzoni sasa nimeamua kujiunga rasmi Click to expand... Karibu mama huku watu wana gegedana sehemu inaitwa pm!
Kaboom JF-Expert Member Joined Nov 6, 2011 Posts 10,827 Reaction score 15,015 Nov 17, 2015 #14 Paulo Sergio De Souz said: Hahaha. Hivi kumbe hiyo "Qt" iko badala ya cute? Dah! Uzee unanijia vibaya. Sikuwa na idea kabisa. Click to expand... Hauko peke yako bro..Tumeshangaa wote..Mi nilishaitafsiri vingine kabisa..
Paulo Sergio De Souz said: Hahaha. Hivi kumbe hiyo "Qt" iko badala ya cute? Dah! Uzee unanijia vibaya. Sikuwa na idea kabisa. Click to expand... Hauko peke yako bro..Tumeshangaa wote..Mi nilishaitafsiri vingine kabisa..
Junior. Cux JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 5,319 Reaction score 3,797 Nov 17, 2015 #15 Paulo Sergio De Souz said: Hahaha. Hivi kumbe hiyo "Qt" iko badala ya cute? Dah! Uzee unanijia vibaya. Sikuwa na idea kabisa. Click to expand... mi nilijua Qt ya mitihani... tukazane tu mzee mwenzangu na spid ya vijana
Paulo Sergio De Souz said: Hahaha. Hivi kumbe hiyo "Qt" iko badala ya cute? Dah! Uzee unanijia vibaya. Sikuwa na idea kabisa. Click to expand... mi nilijua Qt ya mitihani... tukazane tu mzee mwenzangu na spid ya vijana
I irene Qt Member Joined Nov 14, 2015 Posts 28 Reaction score 9 Nov 17, 2015 Thread starter #16 Kaboom said: Hauko peke yako bro..Tumeshangaa wote..Mi nilishaitafsiri vingine kabisa.. Click to expand... Ulitafsiri nini
Kaboom said: Hauko peke yako bro..Tumeshangaa wote..Mi nilishaitafsiri vingine kabisa.. Click to expand... Ulitafsiri nini
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,529 Reaction score 32,731 Nov 17, 2015 #17 lugha ya ishara hiyo mkuu.
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,529 Reaction score 32,731 Nov 17, 2015 #18 mda si mrefu ataweka namba yake hapa.kuwa karibu na uzi mkuu utakosa bahati.nime muuliza p.m
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Nov 17, 2015 #19 Hornet said: Mie mwenyewe nimebaki naduwaa. Click to expand... Kaboom said: Hauko peke yako bro..Tumeshangaa wote..Mi nilishaitafsiri vingine kabisa.. Click to expand... Junior. Cux said: mi nilijua Qt ya mitihani... tukazane tu mzee mwenzangu na spid ya vijana Click to expand... Haha. Afadhali sasa najua siko peke yangu. Nilikuwa nishafikiria kuongea Invizibo kuhusu mafao yangu ili nistaafu rasmi.
Hornet said: Mie mwenyewe nimebaki naduwaa. Click to expand... Kaboom said: Hauko peke yako bro..Tumeshangaa wote..Mi nilishaitafsiri vingine kabisa.. Click to expand... Junior. Cux said: mi nilijua Qt ya mitihani... tukazane tu mzee mwenzangu na spid ya vijana Click to expand... Haha. Afadhali sasa najua siko peke yangu. Nilikuwa nishafikiria kuongea Invizibo kuhusu mafao yangu ili nistaafu rasmi.
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Nov 17, 2015 #20 Kaboom ibra87 mpo wapi? Kuna mgeni Inaweza ikawa fulsa hii.... mito njoo huyu anaweza kuwa mbadala wa uhakikaa wa cute b irene Qt upo single? ... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Kaboom ibra87 mpo wapi? Kuna mgeni Inaweza ikawa fulsa hii.... mito njoo huyu anaweza kuwa mbadala wa uhakikaa wa cute b irene Qt upo single? ...