C Chibwera Member Joined Oct 20, 2011 Posts 25 Reaction score 11 Oct 21, 2011 #1 Hodi jamvini, naombeni mnipokee, Bujibuji, Mwita 25 na Asha Dii
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,928 Oct 21, 2011 #2 Watakupokea, lakini hawapo kwenye chumba hiki.
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,384 Oct 21, 2011 #3 Mbona ni hao tuu umewataja Karibu
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,509 Oct 22, 2011 #4 siku ingine ukienda kwenye nyumba za watu usibague wa kukupokea kwani umeambiwa hao ulowataja ndio wamiliki peke wa JF? hata hivo karibu kwashingo upande Chibwera said: Hodi jamvini, naombeni mnipokee, Bujibuji, Mwita 25 na Asha Dii Click to expand...
siku ingine ukienda kwenye nyumba za watu usibague wa kukupokea kwani umeambiwa hao ulowataja ndio wamiliki peke wa JF? hata hivo karibu kwashingo upande Chibwera said: Hodi jamvini, naombeni mnipokee, Bujibuji, Mwita 25 na Asha Dii Click to expand...
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Oct 22, 2011 #5 usikaribie mana unaleta unaonesha ubaguzi mapemaaaa
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Oct 22, 2011 #6 Hatuna ubaguzi humu,wewe karibu tu!
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 908 Oct 22, 2011 #7 Hawapo
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,855 Reaction score 13,827 Oct 24, 2011 #8 Karibu sana jamvini.