Hodi Hodi Jamani

MBANINO

Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
19
Reaction score
5
Kama Mwanachama mpya wa Jamiiforums naomba kujitambulisha kwenu wanachama wenzangu mliopo jamvini kwa muda mrefu.

Nimeona nijiunge nanyi katika jamvi hili lenye kutoa fursa nzuri ya kubadilishana na kuchangia mawazo katika nyanja mbalimbali za maisha yetu ya kila siku.

Nashukuru na naomba ushirikiano wenu katika uchangiaji wa hoja mbalimbali.
 
karibu sana,,huyo hapo juu ni bigirita a.k.a heart maker,,🙂
 
Nashukuru sana kwa ukaribisho wenu.

tupo pamoja katika jamvi hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…