Wakuu wa Jiji hili la makao makuu ya nchi mpoo??
Nasubiri return zeni po katika Jiji lenu napatika mtaani nasubiri mwaliko!
May b ni yeye
Krbu sn ila vp mbunge mpya tukikaribishana kutakuwa na mgao wa ile per diem iliyonona?maana hamchelewi kusingizia per diem ya kwanza inaenda kwa wazazi
Usiogope mgeni huyu SaaMbovu sidhani kama anapatikana jna tu linaonesha yuko busy sana.mgeni karibu jibu hoja yangu hapo juu nichangamkie fursa
Teh teh. Nipo busy kweli ndo maana nikasema wknd. Huyo KakaKiiza tayari umempa sababu hiyo per dm kwa wazazi.
Ungekuja PM kila kitu kingekuwa sawia bin sawa~!