My dear , umeanza lini kutuburudisha sie wabunge ?
Sasa hutaki ? Kwamba mi na KakaKiiza tu wabunge .
Wakuu wa Jiji hili la makao makuu ya nchi mpoo??
Nasubiri return zeni po katika Jiji lenu napatika mtaani nasubiri mwaliko!
My dear , umeanza lini kutuburudisha sie wabunge ?
Chukua kiss mia!jinsi walivyo busy na bunge la KATIBA siujui kama utawapata huko
wewe jikatae kimya kimya huko uku ukiwa busy na mambo yako kivyaakovyako
halafu teremkia hapop singidani uje na mlenda mnyororo kisha uje unipe
kwa ajili ya valent.....
hee nilikuwa sijui mie kumbe wewe ni mbunge
wa jimbo gani best?
chukua kiss mia!
ilemela .
Majimbo yenu plzzzz
Kwa bunge la katiba mie mbunge wa JF.
Sasa huo ni mkoa au wilaya, kijiji ama kitongoji au jimbo
Ni jimbo my dear linawakilishwa na mtt wa kichaga
hee asante kwa kunifumbua macho yangu maana wengine sie tunaishi mahali pamoja tu
kwa hiyo Judgement yeye ni mtt wa kichaga na ndiye mbunge wao?
Sasa huo ni mkoa au wilaya, kijiji ama kitongoji au jimbo