wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,131
Nawasalimu wakuu.
Hatimaye tena ndani ya Chuga.
Ukarimu wa mara ya mwisho haukuwa na kifani.
Tukiendelea kuunga mkono juhuzi za kuwalatea wananchi mema ya nchi, nipo tena chuga kwa machaliii.
Tupeane code tu wapi mupoooo. Mie saa 6 sharp naanzia bilz pale.
Hii hali ya hewa sio kama lile baridi la miezi 2 nyuma. Ipo poa sana.
Kweli hii ni Geneva of Africa.
Huku huhitaji kubeba manzi, utawakuta tu.
Watoto wakali sana ngoja niwabane jamaa zangu wanilipe hela za mbao.
Mama anaupiga mwingi sana, ukibisha piga Kvant ama nyagi.
Ni mwendo kuzindua miradi na kuianzisha mipya. Hadi tuifikie inchi ya asali na maziwa.
Eeee kuna call hapo ova ova.
Kazi inaendelea.