Hizi tiles zinauzwa wapi?

Jori au kambi ya fisi ila kuna mali mpya kwa magomeni kwa macheni

Swissme
 
Sinza kipande cha big bon petrol station
 
Aisee, izo ni Caribbean tiles, Spanish tiles hazipo ivyo
 
Nilikuw nauliza tu, rangii hii ya ukuta inafaa kupaka sebuleni au chumbani…?

hii rangi ningekuwa mimi napaka nyumba nzima!!!! tena jirani akifanya mchezo naruka ukuta napaka na uani kwake!!
 
aisee Mungu anaumba jamani!!! hebu angali nyonyo hio....kiuno hicho...kijungu hicho dah...oooops kumbe ulikuwa unaulizia tiles?!!! hata mimi mgeni.

We zako magari tiles utazijulia wap?
 
hii rangi ningekuwa mimi napaka nyumba nzima!!!! tena jirani akifanya mchezo naruka ukuta napaka na uani kwake!!

Mkuuu, heshima kwako popote ulipo, ila jirani zako itabidi wawe makini mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…