Bonesmen
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 929
- 991
Nenda kwenye maduka makubwa ya electronics mbona zipo..wakuu nimepita mjengo fulani palikuwa na kagiza ghafla taa zikawaka baada ya kupita zikazima je hzi taa zinatumia sensors zipi kudetect motion haraka ivi na kufanya automatic switching niliwah kuwa technian wa umeme so funguka tu ntakuelewa Drone drake @ngalikuja
Fulu kubana matumizi hapo. Daah, nimezipenda ila sasa bei ndio sijui zitakuwaje?Siku hizi zipo nyingi. Kule Mbweni kuna nyumba kama nne hivi taa za nje ukiwa mbali haziwaki, na ukikaribia taa zinawaka na ukipita zinazima.
Duh.... kimtizamo kama umepotea hivi.....Tz INA watu zaidi ya 45m sensor ya watu na makazi.
Tz INA watu zaidi ya 45m sensor ya watu na makazi.
Bila shaka maini yako yapo kazini sasa hiviTz INA watu zaidi ya 45m sensor ya watu na makazi.
Wew jama umenitamanisha nitazipata wapimotion detector aka Passive InfraRed sensor, binadamu ana emit wave spectrum ya wavelength 9nm, ile detector ina concentrator lens ( hukusanya izo spectrum ) na kuzipeleka kwa sensing unit yenyewe huchambua kama izo IR zako zinasoma 9nm, if yes, transistor ( act as a switch ) inatiki na kuruhusu ka umeme kaende kwenye 'relay' kuwasha taa yako, na hua zina :
1. timer, may be baada ya kupita taa itawaka kwa mda mlani then zitazima.
2. sensitivity, change in motion, hapa nazungumzia uharaka wa ku 'sense' motion yako ukiwa unanyata au unakimbia.
sensor nnazo, range ni 7m , waweza zi interface na taa, kengele na KADHALIKA, izi 'kadhalika' haziuzwi madukani (joke)