Hizi sekunde

hivi hicho kiti ni spesho kwa kupigia hizo picha au!!? maana kuna picha nyingi zimepigiwa hapo
 
Mbona kama eneo ni Moja? Au waliamua kutegesha camera sehemu hiyo kuwakamata wazinzi
ni eneo moja ondoa shaka. muundo wa kiti (tendegu, mpishano wa mianzi, vichaka kushoto) ni uthibitisho kuwa SINIA NI LILE LILE ILA CHAKULA TOFAUTI. kutakuwa na kamera ya siri. mdada kukidolea kamera: anahofia mtu kukatiza maana hapo panaonekana ndio kuna njia ya kuingilia eneo hilo.
 
Pono flani hivi jf. .duh! Hatare eeeee! MOLA tuongoze
 
Hii hio sehemu ni wapi ?? Mana naona picha za watu tofauti wakiwa hapo wengine wakiwa wamelaliana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…