mshana jr;
Nakuungaga mkono threads nyingi ila hii ya leo. Mhh! Uliipigaje hii picha?? Ulikuwa team me au team ke? Maana hapa ni kama walijua wanalolifanya kabisaa. Jamaa akiiona nakuambia atakutafta kwa uudi na uvumbaa