Hizi scanner mpya za Airport ni NOMA MAZEE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi scanner mpya za Airport ni NOMA MAZEE

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Abdulhalim, Mar 24, 2010.

 1. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Haya..source

   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Actually, nilikuwa naangalia documentary ya reconstruction ya yule mnaija terrorist Abbumuttalab, walikua wanaonesha demo ya hii scanner mpya. Kiukweli inasaidia kuscan any metallic object lakini inavua utu kwa 100%. Kuna jibaba moja barubaru kabisa likapita kwene scanner, duh ilikuwa noma , maana scanner ilionesha ana 'kidudu' kidogo kaa kidole cha mwisho cha mtoto mdogo!

  Materrorist wamechafua hali ya hewa kila kona mazee..
   
 3. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  du!kama mambo ndio hayo kweli tutakoma!na hao wenye hiyo kazi mbona wanakoma!
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Sasa wee ndo unamiss za aidia..Kufanya kazi kwene hiyo mashine is F.U.N..Actually, nafikiria kupeleka CV yangu Schiphol. Ha ha ha..
   
 5. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nadhani sio vyote utakavyoona vitakufurahisha!na mbaya zaidi ni siku mimi dada yako nitakapopita hapo halafu na wewe ndio uko kazini!
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Wacha waangalie tu ninachojali ni usalama, mhh kuna ile body search ya mikono I hate that!!!
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ndio itakuwa kazi yangu sasa inayonisaidia kuishi itabidi tu niifanye kwa ukamilifu japo kwa shingo upande.
   
 8. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  ila jamani acheni tu kuwe na mitambo yakuchungulia kila kitu maana hawa magaidi wamechafua usalama kabisa,mtu unasafiri huku una amani!
   
 9. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Unaelewa lakini hii scanner mpya inaonesha hadi nini? lol..

  Inaonesha ramani ya mwili na nyama, mabonde, miinuko na n.k n.k n.k..Ni noma.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,607
  Likes Received: 82,181
  Trophy Points: 280
  Nasikia Airports nyingi zinakupa choice ya kupita kwenye hizo Scanners au kupapaswapapaswa na mtu wa jinsia kama yako ili kuhakikisha hujabeba zana.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Aisee kaa ni mimi afadhal wanipapase kuliko hiyo mionzi. Hata hivo Abbumuttalib alipenya na mikemikali yake hivo hivo hadi kwenye ndege (na pale SChiphol ndo walikuwa wameleta mashine mpya wanajadili kama zitumike au la, wakaishia kughairi kwanza kwa sababu za kiutendaji). Scanner zinasaidia labda kwenye kutambua metallic objects, kama mtu anataka ku-detonate a bomb kwa device ambayo ameificha mwilini, otherwise hivo miscanner itakuwa ni uzushi tu bado haisaidii sana.
   
 12. manenge

  manenge JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pamoja na kumdhalilisha mtu hizo scaner kweli hazina madhara ya muda mrefu?
   
 13. R

  Renegade JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 1,072
  Trophy Points: 280
  Ni kweli, lakini Hapo ndio kwenye shida
   
 14. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mbaya sana...mwanamke mwenzio kukupapasa matiti haipendezi
   
 15. Iramusm

  Iramusm JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 424
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Hahahaa! We preta, so unaona ni bora kupapaswa na mwanaume??
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  ha ha ha...hakuna bora hapo...kupapasana hayo maeneo bila kuwepo eneo maalum ni kero
   
 17. Nyasirori

  Nyasirori Senior Member

  #17
  Mar 25, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 183
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Jamani mimi napenda kueleweshwa, hizi scanner hazina madhara kwa binadamu hasa katika mfumo wa uzazi? Kuna ndugu yangu mmoja anafanya kazi katika mojawapo ya migodi inayomilikiwa na Barrick wenye uongozi wa wenzetu kwa mzee Madiba, analalamikia sana kitendo hicho kwani anasema hio scanner inatumika kwa weusi tu na si wazungu.
  Kama ina madhara yoyote kiafya, kwa nini serikali inaruhusu wawekezaji kuitumia kwa watanzania?
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,607
  Likes Received: 82,181
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono kabisa...kwenye hizo Scanners sitapita kabisa kama nitapewa choice ni bora mara 1,000 nipapaswe kuliko kupita kwenye hiyo mionzi ambayo inaweza kabisa kuwa na athari kubwa katika miili yetu na inaweza kuchukua muda mrefu mpaka madhara yake kwa binadamu kuja kufahamika.
   
Loading...