Hizi Quickie nazo zina vijimambo, lol !!

Hizi Quickie nazo zina vijimambo, lol !!

UmkhontoweSizwe

Platinum Member
Joined
Dec 19, 2008
Posts
10,047
Reaction score
9,346
Bwana mmoja na mke wake walikuwawamepanga nyumba ya chumba kimoja (studio) ambamo waliishi na mtotowao wa kiume wa miaka kama 4-5 hivi.
Hawa wanandoa walikuwa na kawaida yakupeana “kakitu” ka harakaharaka, almaarfu quickie, nyakati zamchana baada ya kutoka kazini. Basi kila walipotaka kula tundawalikuwa wanamwambia kijana wao aende kucheza nje kibarazani na wao wanajifungia ndani.

Siku moja kijana akaona mazingirafulani kwa jirani nyumba ya pili, na kwa kuwa yalifanana na yanyumbani kwao uzalendo ukamshinda, akaamua kumwambia mama yake.Mazungumzo yakwa hivi:


Kijana: “Mama, mama, ….......” Kijana akaita kwa sauti.
Mama: “Nini” Mama akauliza.
Kijana: “Baba na mama 'deshideshi' (jina tunalihifadhi) wanafanya matusi." Kijana akasema kwa sauti.
Mama: “Wewe mtoto una wazimu? We nanikakwambia kuwa wanafanya hivyo?” Mama akauliza kwa hamaki.
Kijana: “Mama, humwoni mtoto wao'deshideshi' anacheza kibarazani kama mimi?"

Muwe na Krismas njema.
 
Dogo ! Dogo ! Dogo ! Umemchosha mazako ghafla.
Kawa mdogo ka piriton !
 
Back
Top Bottom