Yapo mambo ambayo mara nyingine yanaumiza sana roho,mfano unamfahamu mtu fulani ambaye kabisa anajulikana ameshaua mke wa kwanza kwa UKIMWI live.
Baada ya hapo akapumzika miezi sita tu,akaenda kijijini kwao akaoa tena mke wa pili akaishi nae miaka 3 tu binti wa watu akaanza kuwa hoi bin taabani ikabidi arudishwe kijijini jamaa bila hofu akarejea mujini kwa sababu eti tu anakajiuwezo fulani basi.
Hivyo sasa anaamuwa kuwa mcharaziji wa mabinti kwa kubadilisha kila siku vibinti vidogo vizuri hivyo lahaulah ee mola epusha janga hili,wazee wa ma power bank wameenea kweli kila kona ya jiji
<true story>